Yeah! (Yeah) (Yogo on the beats) ♪ Hmm kusema nitaleta wezi uongo Siwezi Arobaini umeshani kamata basi tena Aah aaah Mwendo wa taratibu kama jongo, oh baby Unan' kosha sina zaidi la kusema aah Na kama kunipenda uzidishe Zidi zidishe Na tulivyo wa bad, tuwatishe tishe tiii Kama mila za kwenu nifuatishe Fuati fuatishe Uchumba unoge niku halalishe, lishe Amour Amour amour amour Amour Tarira tarara tarira Amour Amour amour amour Amour, talala lala aah ♪ Kazuri kazuri katoto Damu bado changa wamoto Sauti nyororo akinicall Hallo, halooo Hata mngeekwa kulwa na doto Ninge kuchagua we my love Haya ni mawazo ama ndoto Kuwa nawe, kuwa nawe Na kama kunipenda uzidishe Zidi zidishe Na tulivyo wa bad, tuwatishe tishe tiii Kama mila za kwenu nifuatishe Fuati fuatishe Uchumba unoge niku halalishe, lishe Amour Amour amour amour Amour Tarira tarara tarira Amour Amour amour amour Amour, talala lala aah