Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara) Tanzania ya Suluhu Hassan mama yameremeta (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara) Mungu ana mama (mama eeh mama) Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama) Amri jeshi kuu (mama eeh mama) Anapendwa na wengi (mama eeh mama) Ameimarisha urafiki kimataifa Wawekezaji sa nchini kote wanafika Demokrasi, siasa ya kuridhisha Biashara ona zinauzika Si nampenda aki (Samia) Uone vua taki (Samia) Misoko elimu kaweka safi (Samia) Mashule kwa zahanati (Samia) Kapinga zile kodi zote ziso halali Vina uhuru sasa vyombo vya habari Zote kesi za uonevu kafutilia mbali Kapunguza fine za bodaboda Sasa mambo shwari Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara) Tanzania ya Suluhu Hassan mama inafuraha (Tanzania ya mama Samia inang'ara ng'ara) Mungu ana mama (mama eeh mama) Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama) Jemedari wetu (mama eeh mama) Mtetezi wa wanyonge (mama eeh mama) Iyena iyena, iyena iyena Iyena iyena Rais Samia nambari one Iyena iyena, iyena iyena Iyena iyena Rais Samia nambari one Ooh iyena iyena, iyena iyena Iyena iyee Suluhu Hassan namba moja Iyena iyena, iyena iyena Iyena iyena Rais Samia nambari one Mungu ana mama (mama eeh mama) Oh Rais wetu jamani (mama eeh mama) Eh mwanamke wa shoka (mama eeh mama) Oh mchapa kazi (mama eeh mama) Amechukua ameweka wah (eh vitu vya afya) Amechukua ameweka wah (flyover ndege mpya) Amechukua ameweka wah (barabara vijijini) Amechukua ameweka wah Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele Shangwe na vigelegele na vigelegele na vigelegele Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge sana Tanzania na isonge mbele na isonge mbele na isonge mbele Na kazi iendelee, kazi iendelee (twende pamoja, pamoja) Na kazi iendelee, kazi iendelee (wakulima, madakitari na machinga) Na kazi iendelee, kazi iendelee (maboda boda, waalimu oh) (Platnumz)