Yaani tushawaloga walioshika manyanga Si walipaka powder na chale wakachanja Na kwenye vilinge udaku kwa madoti ya kanga Nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karanga Ooh yayeee Imegeuka shilingi wanalia (wameyamwaga) Walidhani magimbi kumbe bia (wameyavaga) Tuwapaka wino, machino Wenyewe wamechimba shimo Moja jino kwa kisigino Wananunga tera nawazidi kimo (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Ooh yeah hatucheki na ndezi (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Ni mwendo wa dozi (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Kama wagonjwa nawapa ulezi (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Ooh yaaa hatuwabembelezi (S2kizzy Baby) Nikimake navimba kibaria Kamba kwa buti nakazia Wakipiga kunuti napanguwa Kwa ukubwa wa show wanapaliwa Naitekenya kete, wakipanguwa cheche Miluzi makeke mteja na kete Saluti, kuruti, katekenya kacheka kanyuti Bunduki, baruti utapepea ka parachuti Tuwapaka wino, machino Wenyewe wamechimba shimo Moja jino kwa kisigino Wanaunga tera nawazidi kimo (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Ooh yeah hatucheki na ndesi (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Ni mwendo wa dozi (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Kama wagonjwa nawapa ulezi (Uko kwi uko kwu uko kwiko) Ooh yaaa hatuwabembelezi