Mmmmmh oh oh oooh mmmh Yaani, nikikutazama Naiona Dunia wangu peke yangu tu Jua linapozama, giza likiingia Natamani nikuone tu Ooh baby ukisakata rhumba Sijalewa nayumba Caterpillar limebomoa nyumba mmmh Natamani nife nizikwe nawe Shida na raha nawe Niwe nawe Mwenzako nimepatwa na homa Umepasua ngoma We baba ni noma mmmh Akili imesita imegoma Mwisho wa reli kigoma Ooh ooh
Oh baby (nibakishie) Usinipe vyote mie (nibakishie) Utaniua (nibakishie) Kwa hiyo roho yangu (nibakishie) Oh baby (nibakishie) Usinipe vyote mie (nibakishie) Utaniua (nibakishie) Kwa hiyo roho yangu (nibakishie) Ooh baby Nishaharibu cocky ya mapenzi acha niloe Pacha wangu ni wewe tunamatch sare sare Nitazurula kulilinda penzi Kwa ndumba na chale Tetere lipe mchele mzoga wake mwewe Ooh, basi nikabidhi Ooh, moyo sitopunja wala kupima aiyaya Ya yanishika ganzi na kichomi kuchoma Mwili mzima wa tetema ooh maybe Baby, umetekenya ngoma We mama ni noma (noma) Akili imesita imegomaa Mwisho wa reli kigoma kigoma kigoma Ooh ooh Oh baby (nibakishie) Usinipe vyote mie (nibakishie) Utaniua (nibakishie) Kwa hiyo roho yangu (nibakishie) Oh baby (nibakishie) Usinipe vyote mie (nibakishie) Utaniua (nibakishie) Kwa hiyo roho yangu (nibakishie) Ooh baby eeh