(Mr. LG) Ningependa kuona Vanessa na Jux Mara ghafla ikatokea nuksi Sikuwaona tena wakatengana Aslay nilizoea kumuona na Tesi Katokea mazito sio mepesi Wakatengana tena Nilitegemea kumuona Harmo na Sara wakiendelea Mambo yamebadilika namwona Kajala ila nawaombea Mlitegemea Kusah na Ruby wakiendelea Mambo yamebadilika namwona Aunt Ezekiel Watoto wanamlea Uh-huh, new couple Kila siku inazuka new couple Uh-huh, new couple Kila siku inazuka new couple Nilikuwa nice couple Harusini ningekuja na zawadi ningetoa, hey Eti Queen Darleen wamwonea wivu wa nini? Ukiwa mke wa pili jiamini, yeah Hmm Eti Mani na Esma mambo mmeyamaliza Inamkera mziza, no, no, no Mlitegemea kuniona mimi na Nenga tukiendelea Mambo yamebadilika na simwoni tena Ila namwombea Mlitegemea Fahima na Ray, wakiendelea Mambo yamebadilika yaliyofatia sisemi Uh-huh, new couple (weh, new couple) Kila siku inazuka new couple (new couple) Uh-huh, new couple (new couple, yeah) Kila siku inazuka new couple (new couple, new couple, yeah) Hm, yeah Love doesn't ask, "Why?" Let's love, enjoy and celebrate Hey (The Mix Killer) Kila siku inazuka new couple It's all about love (it's all about love...)