Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani Kumbe kuachwa inaumaga ivii Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka Kumbe kuachwa ina umaga ivii Umeniumbua bora niseme Kiapo nilicho kula bora nikiteme Mapenzi shikamo sirudii tena Umepatwa na nini si useme Kinachokufanya we uniteme Mapenzi shikamo sirudiii tena Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa Bila wee me siwezi (sauti inarudia) Siwezi, siweziii (nakumbuka uliniambia) Bila wee me siwezi (sauti inarudia) Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia) ♪ Unanifanya mi nalewa sana Haipiti siku bila kugombana Mapenzi yako ya kibabe sana Malumbano ya mapenzi siyawezi Kuna sielewi mana, ivi kwanini kwako na nga ngana Mapenzi gani haya kutesana Wasi wasi wa mapenzi Ivi kwanini we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oh mapenzi Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa Bila wee me siwezi (sauti inarudia) Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia) Bila wee me siwezi (sauti inarudia) Siwezi, siwezi (nakumbuka uliniambia)