Nawaza ingekuaje kama ningekukosa Nawaza Inamaana hizi raha zote ningezikosa Nawaza Penzi limenikolea kama mtoto anashindwa tembea Raha zimenibombea kwa mama nitakusemea Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke Unichonipaga usidiriki kunyinma mi nideke Penzi limetaradi oya halima acha nicheke Nilale ama mi nisimame wima Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui Unanipa raha Nifanye kitafunwa unile Unanipa raha Zidi kunifundisha mi sivijui Unanipa raha Nianze kukulisha ndo nile Oh oh oh oh oh oh oh Oh oh oh oh oh oh oh Oh oh oh oh oh oh oh Hadi kucha zinaisha Nikikuona nazing'ata Unavyonizubanisha mi napagawa oyani tu Tuache yote tisa, kumi nakupa limbwata Unavyoniburudisha mi napagawa Nakupenda unanipenda mpaka rahaa Nikikuona tu nashiba sina njaa Hili penzi limejawa na furaha Wakikuiba natoa mtu kafara Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke Unachonipa usidiriki kuninyima mi nideke Penzi limetaradi oya halima acha nicheke Nilale ama mi nisimame wima Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui Unanipa raha Nifanye kitafunwa unile Unanipa raha Zidi kunifundisha mi sivijui Unanipa raha Nianze kukulisha ndo nile