Kishore Kumar Hits

Ommy Dimpoz - Umeniweza şarkı sözleri

Sanatçı: Ommy Dimpoz

albüm: Umeniweza


Oh la-la-la-la
Oh, la-la-la-la
Oh la-la-la-la
La-la-la-la
Oh la-la-la-la
Oh la-la-la-la
Oh la-la-la-la
Mr Leg
Uzuri wako mashallah, we muzuri una vutia
Una pendeza, una vyo nipa mpaka raha
Ujuvu juice ya miwa, ndimu na kamuliwa
Penzi pupwe la baizi
Lime fitiwe seize
Cheko na tabasamu, yani napewa
Natafuta mashaidi jalali nifaidi
Visiwa vya haramu vikachuliwa
Umeniweza ah ya ah
Umeniweza ah ya ah
Umeniweza ah ya ah
Umeniweza ah ya ah
Tuna endana nyota mi nawe
Huna baya kama mtoto mchanga
Yangu pumzi nikupe wewe
Nongwa kwetu ni sumu
Ubaliko salama, liko salama
Penzi pupwe la baizi
Lime fitiwe seize
Cheko na tabasamu yani napewa
Natafuta mashaidi jalali nifaidi
Jalali ni faidi
Visiwa vya haramu vikachuliwa
Umeniweza ah ya ah
Umeniweza ah ya ah
Umeniweza ah ya ah
Umeniweza ah ya ah
Ha, ha, Sultan, zero, zero, one
Thanks a lot of
Pozi kwa pozi
Ommy Dimpoz
Watala, watala, umeniweza

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar