Kishore Kumar Hits

Ommy Dimpoz - Birthday şarkı sözleri

Sanatçı: Ommy Dimpoz

albüm: Dedication


Hmmm
Ah hmmm
(Mr Lg)
Leo ni siku nzuri umetimiza miaka kadhaa
Ashukuriwe Rabana na wazazi waliokuzaa
Furaha imeshamili umependeza sana umeng'aa
Siku yako imefana Maisha marefu mema
Habity wangu wee ndio kipenzi changu
Leo ni siku vako laazizi wa moo
Uvungu wangu mtunza siri zangu
Waubani wangu haujajaaliwa choyo
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Mungu akuzidishie amani, mpenzi wangu wee
Kamwe sitakushusha thamani, habity wang wee
Laaziz waubani wa mwandani, nuru yangu wee
Yaani kama umeletwa duniani, kwaajili yangu wee
Habity wangu wee ndio kipenzi changu
Leo ni siku vako laazizi wa movo
Uvungu wangu mtunza siri zangu
Waubani wangu haujajaaliwa choyo
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Basi tukate cake kata kata
Lolo lololo
Kata kata
Ahhhh
Ale tuimbe sote, imba imba imba imba
Lolo lololo
Twendeni kati tuiumuike tucheze
Cheza cheza
Lolo lololo
Cheza cheza
Ahhhh

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar