Bounty Bakharesa Bakhre, bakhre Bakhre, bakhre Bakhre, Bakhresa Yeah Konde boy call me number one, number one Bila shaka haujawahi kumuona hata kwa sura Boss wa karibia unacho kula Huwezi muona kwa Tv ata kwa dharula Ingawa yeye ndo nwenye king'amuzi Hana time na mitandao yani kuuza sura Yupe buzy na mafao pesa mlungula Angetaka kupita nao wote angeshakula Hana huo muda wa makuziii Masikini anawapa mitaji wagawane Na watu wazima Huwezi muona kwenye picha na wajane Au mayatima Hawezi kujisifia nyumba Wala magari range na bimaa Riziki anagawa muumba Jalajalali kikubwa uzima Sura yake kwako lazima itakuwa ngeni Uwenda ushapishana nae kwenye foleni Maana sio mtu wa kupop mashampeni Yeye sio limbukeni yeah Mfano wa mtu mwenye pesa Ooh pesa aaaah We mtazame bakhresa (bakhresa) Mfano wa mtu mwenye pesa aah Ooh pesa aaaah We mtazame bakhresa (bakhresa) I wanna smoke some weed uuh uuh uuh Uuh uuh uuh, uuh uuh uuh Uuh uuh uuh, uuh uuh uuh Uuuh uuh uh, uuh uuh uh Bakhresa uuh, bakhresa uuh aah Bakhresa hajawahi kugombea cheo Au kujisifu na maendeleo Hawezi kushika pesa akazigawa Hivi ushasikia bakhresa ana chawa Akina tajiri mo kipenzi cha wana samba aah aah Tunawaona insta wakicheza nakuimba aah aah Ghalibu boss wa yanga na GSM Yeye ana utaratibu Wa kwenda kwa mkapa kucheki game Sio mbaya ila uwezi kumuona bakhresa Akijisifu na pesa Na majigambo rumbesa Bakhresa aah aah Natanzania pekee aliyee juu ya bakhresa Ni raisi wa jamuhuri maana yeye ni taasisi Ooh and guess what mama yuko peace Na ukimuona ametokea Akiongea ni kwaajili yetu sisi Wakati unajigamba wa mbezi beach Bakhresa ana mashamba huko kijichi Ebu acha ushamba pesa haijifichi Eti I gat too much money am so rich Mfano wa mtu mwenye pesa Ooh pesa aaaah We mtazame bakhresa (bakhresa) Mfano wa mtu mwenye pesa Ooh pesa aaaah We mtazame bakhresa (bakhresa) I wanna smoke some weed uuh uuh uuh (yao yao) Tell them boys we got this new money, na we leave low key baby The mix killer (Jeshi)