Big Boy On The Beat Ooh Aah Ooh Aah Aaah Ooh Aah Ooh Aah Aaah Ooh Aah Ooh Aah Aaah Ooh Aah Ooh Aah Aaah Ooh Aah Ooh Aah Aaah Ooh Aah Ooh Aah Aaah Natamani kuimba Pengine ukasikia Maneno yangu ya mwisho Ila sauti ndo inagoma Yani kama inakwaruza Huruma Ukinitazama machoni yamevimba Nimekesha nalia Na sijui lini mwisho Mwili wa joto na homa Yani mpaka naunguza Mapenzi hayana dhihaki Mwenzako nishawaza hadi faraki Ama niende kortini nikashitaki Kwamba unadhulumu furaha yangu Mdomoni una maji we samaki Sa mbona hata kusema hutaki Ama ndo unataka sitaki Ina maana huzioni jitihada zangu Pengine donda nililokupa Limefuta upendo Unajaribu kujilazimisha Mengine unafanya kuniridhisha Mwili umekonda umebaki mifupa Kulilia upendo Basi moyo rudisha Kama umenisamehe na yameisha Kinyonge ninajiuliza bila majibu Wapi nitapoharibu Kila ninachojaribu hakikupendezi Utanikumbuka mpenzi uta... Utanikumbuka mpenzi uta... (Utanikumbuka mpenzi uta...) Maana wapo watakaokukosea Na wasikiri kosa Muda wote wanawaza kukuchezea Hakuna wa kukuposa Eeh eeh Inaboa mapenzi yakishaisha Licha ya kujitoa Mwenzangu kumridhisha Eti mara yupo bize yupo bize Alipo hataki nimuulize Anajua lazima iniumize Imeandikwa samehe na usilipize Huenda hata msamaha ulionipa ni kazi bure Kama umeshindwa nifanya Nijione kama yule Rajabu wa zamani Rudi Ma unipe joto Hili baridi kama Toronto Si ulijiita Kurwa mi Doto Na utanipa watoto Sa mbona sikuoni Ninajiuliza bila majibu Wapi nitapoharibu Kila ninachojaribu Hakikupendezi Utanikumbuka mpenzi uta... Utanikumbuka mpenzi uta... (Utanikumbuka mpenzi uta...) Maana wapo watakaokukosea Na wasikiri kosa Muda wote wanawaza kukuchezea Hakuna wa kukuposa Eeh eeh Konde Boy Call Me Number mber One, Bakhresa Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka... Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka... Na sikuombei mabaya (Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...) Ooh Mabaya Na sitakusema vibaya (Uuh Uuh Uuh Utanikumbuka...) Uso umeumbwa na haya Uncle Duke unipigie ukinikumbuka