Nimechili na wanaa eh na wanaa Skani kopa kabanaa eh Tunachoma Kuna mtoto ananyama, she too fine oh Usiombe akichutamaa eh lawama Unacheki my wallet budget Usiwaze kuhusu money Leo me nimebet nikadent Nimepoint mtumbani Welele mama igwee Toroka fanya ujee Ili goma lisitue Lazima tu lipigwe Huku nawakaza kwajeroo (oyaaa) Waliobanwa kwenye karoo (maboyaa) (Ndegele) Kata... (Ndegele) Ongeza mizukaa... (Ndegele) Jipindee binukaa... (Ndegele) Msamba pasuka... (Ndegele) Mamaa (Ndegele) Rukaa (Ndegele) Tupa magongoo... (Ndegele) Cheza kikongoo... (Ndegele) Pinda Mugongo... (Ndegele) (The way you dance is killing me) Aya sasa aya yaya She make me kolo yo mama yoo Na body na leliyoo Stim za upolo Ukimtazama yoo Unanyonga na leliyoo Agwelenaa agwelenaa Umenibariki kimokoo Agwelenaa agwelenaa Kamusuku kamusoko Una bodi (bodi) Unaweteka madingii Hilo bodii (Bodii) Shape kama shangingii Nipe mpaka kuchu kuchu (Ndegele) Nilambe Nyaya Mpaka Chuchu (Ndegele) Njo Ushike na mututuu (Ndegelee) Nisugue mpaka nitoke kutuu (Ndegelee) (Ndegele) Kata (Ndegele) Ongeza mizukaa... (Ndegele) Jipindee pinukaa... (Ndegele) Msamba pasuka... (Ndegele) Mamaa (Ndegele) Rukaa (Ndegele) Tupa magongoo... (Ndegele) Cheza kikongoo... (Ndegele) Pinda Mugongo... (Ndegele) (Acha kucheza kwa mapepe) (Watu wote watakushangaa) (Acha kucheza kwa mapepe) (Watu wote watakushangaa) Too fine oh mama Total am loosing my mind Kabisa nyang'a nyang'a Nashika natawanya (Ah eh) Too fine oh mama Total am loosing my mind Kabisa nyang'a nyang'a Nashika natawanya (Ah eh) (Ndegele) Kata (Ndegele) Ongeza mizukaa... (Ndegele) Jipindee binukaa... (Ndegele) Msamba pasuka... (Ndegele) Mamaa (Ndegele) Rukaa (Ndegele) Tupa magongoo... (Ndegele) Cheza kikongoo... (Ndegele) Pinda Mugongo... (Ndegele)