Natoka Bongo wala si Congo Mida ya fisi na maza tunauza gongo Life ulufombo, watu wana nyongo Upate kitu kidogo upigwe dongo Usije fosi battle mi ni business man Utacheza mdaku ka utashindwa shine (yeah yeah yeah) Wanaishi Babilon system Jifanye huna nguvu ugawe wazi Wanasema kelele Mwenzake chura Ukijaribu kufosi kingi Utanyimwa hadi kura Mwanangu we ukitoka usirudi Fanya tu tupate dishi tuishi gudi Watakupa maseke kusudi Ili tu wakutoe kwenye mudi Kila sehemu nayatimba Wahusika wanajificha Masnichi wanazima taa Nikiwa ndani na manigga Wamambwiga, walofika So lazima watashangaa Na wanangu wewe (wewe) Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe Na wachumba wewe (wewe) Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe Come here and see Wakati nacho fanya ni lazima kihit Come here, come here, come here and see Wakati nacho fanya ni lazima kihit Kwetu hatuwezi Kuvumilia ngumi na panga mkononi Ukielekeza mapenzi Utakwanguliwa uwe bwege mtozeni Kinja kinja nachinja Usije ukayumba Kama unakuja na dinga Nifiche kwenye jumba Ya kwanza mi nikipata eeh Nikipata eeh (wahuni tu nimwage) Na nyumbani kwa maza eeh Kwa maza eeh (lazima nizimwage) Mwanangu we ukitoka usirudi Fanya tu tupate dishi tuishi gudi Watakupa maseke kusudi Ili tu wakutoe kwenye mudi Kila sehemu nayatimba Wahusika wanajificha Masnichi wanazima taa Nikiwa ndani na manigga Wamambwiga, walofika So lazima watashangaa Na wanangu wewe (wewe) Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe Na wachumba wewe (wewe) Wewe (wewe) wewe (wewe) wewe Natoka Bongo 255 Tafuta kazi hiyo si kazi wewe