Nipate pesa ninunue mapenzi Ili yanipunguzie mawazo Mwenzenu mi nashindwa kweli Nami ndo niliochonga kinyago Hivi ulinitamani? Ulionena siamini Ya watabiri yatimie eeh Eti mi nikulilie eeh Tuliyopanga upangue eeh Na tena usinijue eeh Ya nyuma ulionionesha Yalionifanya nizame kwa kina Nami kuku mgeeeni Kilichoniponza, kamba mguuni sina Niking'ang'ania (weweeeeh) Naweka kifaranga na mwewe Sio mpaka ninywe nilewe Ndio nikukumbuke weweee Ooh mama Nisamehe weweee Nisameh