Ah, I swear to God for my life That I speak from my heart Ushawai kupenda Let me see your hands up (Classic Music) Ah, mwanga umeingia gizani Nyota yetu inafifia angani Ndoto zetu zinaishia njiani Mapenzi yetu yako mashakani Mapenzi ya vikwazo mitihani Kila mmoja anaumia ndani Tulivyo anza mwanzo sikudhani Kama yangepotelea hewani Kwako nilijifunza kupenda Sikuwa na pumzi ata ya kuhema Kuwa na wewe mazoea yakajenga Ukafanya nikuwaze kila sehemu ninayo kwenda Yako wapi? Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tulikuwa hapo Yako wapi? Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tunaenda wapi? Yako wapi? Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tulikuwa handle Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tunaenda wapi? Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Ah, ule wakati hujui ushike wapi Unafanya kitu moyo wako hautaki Kujiuliza maswali, majibu hupati Niya kutapa tapa kama mfa maji Sometimes, hisia zinakudanganya Unatanga na njia hujui la kufanya Huwezi kukimbia unacho kipenda sana Unabaki unaumia, akili inakuchanganya Tunacheat wakati tunapendana Tunapendana vipi tusipoaminiana Mimi na wewe imebaki kuzoeana Haya sio mapenzi, mapenzi ya kutesana Mwanga umeingia gizani Nyota yetu inafifia angani Ndoto zetu zinaishia njiani Mapenzi yetu yako mashakani Yako wapi? Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tulikuwa hapo Yako wapi? Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tunaenda wapi? Yako wapi? Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tulikuwa hapo Yako wapi? Yako wapi yale mapenzi yale, yako wapi? Yako wapi? Mimi na wewe tunaenda wapi? Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Tumepoteza! Tumepoteza mapenzi, tumepoteza Ule wakati hujui ushike wapi Unafanya kitu moyo wako hautaki Kujiuliza maswali, majibu hupati Niya kutapa tapa kama mfa maji Things ain't gonna be the same again Mambo yalivyokuwa mimi nawe Ibaki stori ya kusimulia mapenz Mambo yalivyokuwa mimi nawe Things ain't gonna be the same again Mambo yalivyokuwa mimi nawe Ibaki stori ya kusimulia mapenz Oooh yeah eeh Yako wapi? (ooh beiby) Yako wapi?(yako wapi?) Yoh yako wapi?(no no no no no) Yako wapi? (oooh beiby) (Abbah)