Kujiliza kinyau nyau Vipiiiii Nkupe mfupa unatamani fisi Na mademu wa kufunga kijiji Hata ukiniita kimadharau siji Vuumi vuum honda Kumbe sio honda Kapanda bike ya miti kimeo Kujifanya ninja kumbe sio ninja Ujanja wa kuiga kwemye video Wale mademu waloleta utajiju Sisomi mesage zao sijibu Wanaojifanya moto leo majivu Bado wenye chuki wanakuja na wivu Boss it... kwani shingapi? Gimme this gimme that Boss it... you wanna know what happen If i say no no discussions Boss it... Boss it... Boss it... Eeeeeh boss it... Tulianza kama utani na Tumetokea gizani Eeeeeh kama utani now we get money Na tunashine Keep it calm keep it calm Aaah drinks bill is on me Keep it calm keep it calm Na break down Watu wanakwenda wanakwenda pasi pasi Ronaldo na mpira chenga kati, Washangaa eeh nimekuwa stranger bas Don't play boy this is dangerous Tokea asubuhi niko juu ya anga Napishana na wachawi wanatoka kuwanga Alafu unipigie uniletee ushamba Nakufunga wewe na aliyekupa namba Boss it ...kwani shingapi Himme dis gimme dat Boss it you wanna know what happen If i say no no discussions Boss it Boss it Boss it (eeeehhh Tulianza kama utani Na tumetokea gizani Eeeeh kama utani now we get money Na tuna shine Oooooh Eeeeh yaaaaah