Kishore Kumar Hits

Darassa - Tuishie Hapa şarkı sözleri

Sanatçı: Darassa

albüm: Tuishie Hapa


Kapipooo
No no nooo!
Am doing this kwa sababu we're lost
Nimejaribu jaribu fosi fosi ukae kwenye box
Gosh! I'll tell what hurts me the most
Navyojitoa kwakila kitu na bado haitoshi
Tulikuwa tunapendana sana
Now what's this
Nimevaa pingu za maisha ama ni pingu za polisi?
Zamani love daily tunatumiana makiss
Cuz no peace call chati zetu madiss
At the end of the day I undersatnd this life
Mwingine anakuenject huyo mwengine hataki wife
Kuna hukungu umeingia ndani hatuonani
Mwenzangu hata kumbukumbu huna kwako mie nani
Kuimba nisha imba nyimbo zote husikii hushiki kitu
Uvumilivu n'nao sana ndani ukiweka kando wivu
Inatiauvivu kupanda furaha kuvuna maumivu
Bora niokowe hata mwili moyo ushakuaga majivu
Ooh! Tuishie hapa
Tuishie hapa aah
Tuishie hapa
Mbona hauna nianzuri na mimi yo yo yo
Ooh! Tuishie hapa, mhhh
Tuishie hapa aah
Tuishie hapa
Mana mwanzo baya, hutokua na mwisho mzuri na mimi

Oh yeeah yeah yeah mh mhhh hmm
Moyo wangu chonde chonde
Mi' nakupa we unauchezea unauchezea
Nafsi yangu kinyonge
Sura imebeba fedhea
Naona fedhea aah
Kwa haya machache tu
Niupendo wangu ndo unaniponza
Aah bora niache tu nikatafute dawa ya kujipoza
Sikutaka nikukose, hata iwe kwa bahati mbaya
Wakati wako we kutambaa aaah
Imefikia tamati roho inauma
Umeniumiza nafsi raha sina
Me ndo nakugasi muda hauna
Mwisho mtapotea miyee
Tuishie hapa
Tuishie hapa aah
Tuishie hapa
Mbona hauna nianzuri na mimi yo yo yo
Ooh! Tuishie hapa, mhhh
Tuishie hapa aah
Tuishie hapa
Mana mwanzo baya hutokua na mwisho mzuri na mimi

CLASSIC MUSIC

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar