Kishore Kumar Hits

Mbosso - Alele şarkı sözleri

Sanatçı: Mbosso

albüm: Alele


Nyama zetu za ulimi
Zikikutana asali bonyea chini
Changama kama tayari
Leo tule nini
Miogo ya koko
Kwa kachumbari si unajuanga mimi
Kitandani huwa hodari
Kama umenironga eeh
Mganga fundi mama
Umeniweza, nilichomeza mimi sijatema
Chumvi kwa kikopa
Wali maini ndizi nyama
Umenilegeza
Ukinigusa tu natetema
Shuka kifuani baby
Naomba nipate supu
Ya nyama laini
Kama mapupu
Yale ya gizani baby
Nje tusiyaruhusu
Kwa majirani
Wambea wakina rufufu
Mhhh aah (alelele)
Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
(Alelele)
Mhhh aah (alelele)
Moyo wangu udongo ubongonyoe
(Alelele)

Asubuhi niamshe kabla ya kwenda kazini... jogingi
Kijasho kitoke
Ukihisi nachoka piga filimbi
Oh unikamate
Kama nayumba shika ngingi
Wachefukwe mate
Maembe mabichi wape mbilimbi
Utamu wangu mimi
Wajua wewe, penzi tubane na pini
Iwe siri yetu wenyewe,
Mhindi wa kusini
Mwenye mapenzi tele
Kibiti hakuna madini
Tukawinnde tetele
Shuka kifuani baby
Naomba nipate supu
Ya nyama laini
Kama mapupu
Yale ya gizani baby
Nje tusiyaruhusu
Kwa majirani
Wambea wakina rufufu
Mhhh aah (alelele)
Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe
(Alelele)
Mhhh aah (alelele)
Moyo wangu udongo ubongonyoe
(Alelele)

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Khan

2022 · mini albüm

Benzer Sanatçılar