Hujaacha tobo uliloniachi ni bonge la tundu Sina nyendo mama kaninunia nahisi gundu Nakunywa gongo najisaidia nguoni aibu Uu walongo kitanda changu ndio chooni Wee ndio sababu uh uh wewe sababu uh uh Buto mobimba na nzolela Naumia sana nimekuzoea Buto mobimba na nzolela (mama) Naumia sana mama Nimekuzoea ah Mmh ndoto za ajabu Kichwani unakuja wewe, sura yako Nishasomewa vitabu bado vinasema wewe Nikifa maiti yako yee hee Aya aya aya aya Machozi hayataki kukauka Aya aya aya aya Nafuta kushoto kulia yashuka Aya aya aya aya Na machozi hayataki kukauka mama Aya aya aya aya (Aaah eeh ...eh) Utamu wa nanasi Ghafla huwa mchungu sana Ukinywa maji Baby wangu wasiwasi Nani kakuficha mama Rudi basi iiii Ah tajiri wa huzuni machozi kwangu bwelele Upepo wa firauni umemkumba ngedele Mifukoni mbuni vichenjichenji njenjere Namaliza sabuni mdomo koma kelele Buto mobimba na nzolela Naumia sana nimekuzoea Buto mobimba na nzolela (mama) Naumia sana Nimekuzoea ah Mmh ndoto za ajabu Kichwani unakuja wewe, sura yako Nishasomewa vitabu bado vinasema wewe Nikifa maiti yako yee hee Aya aya aya aya Machozi hayataki kukauka Aya aya aya aya Nafuta kushoto kulia yashuka Aya aya aya aya Na machozi hayataki kukauka mama Aya aya aya aya (Aaah eeh ...eh) Moyo una (malenge lenge) Nahema kwa shida (malenge lenge) Biashara yangu ya mapenzi (malenge lenge) Ni hasara si faida (malenge lenge) Maazoea (malenge lenge) Nimekuzoea (malenge lenge) Aaah (malenge lenge) Nimekuzoea (malenge lenge)