Shilingi ya ng'ara ng'ara Shilingi ya ng'ara ng'ara Naapa kwa Bibilia Nashika na masafu Naapa mbingu dunia Funika kibakuli Funua moyo wa furaha Sura za mafedhuli Nyeusi fi, zimewafura Wasome kwa Zaburi, Wagalatia Hawashindi kudura Hili penzi tanuri, wakivamia Litawavula Anikuna nazi Mi nikamue tui Tule wali mbaazi Yetu mapocho pocho Sasa tuanze kazi Usiku kwa asubuhi Wali tumwage radhi Mambo ya soko soko Penzi sarafu lina pande mbili Shilingi ya ng'ara ng'ara Mwenge wewe, bichwa mie Shilingi ya ng'ara ng'ara Vidole juu tuwaringishie Shilingi ya ng'ara ng'ara Doli doli za mbwela Shilingi ya ng'ara ng'ara Why you dey my side, nobody dey ooh Girl you dey, nobody dey ooh Take over my whole space Rocking my white shirt eeh Ooh dance yah shatte Anything for you I shake Sometimes your body might be too lazy But when you call me I go visit Mmmh ah my toto de waje Shake your waje Sometimes [?] might be too low Thats why you call me I go still show My love faboulous You go pay me a tonne(tonne) Cause I love you(Love you) And I want to give you all my love Still I have you J'lo, tell me you love me Tell me you love me(love me) Ooooh ooh... Penzi sarafu lina pande mbili Shilingi ya ng'ara ng'ara Mwenge wewe, bichwa mie Shilingi ya ng'ara ng'ara Kidole juu tuwaringishie Shilingi ya ng'ara ng'ara Doli doli za mbwela