(Nusder on the beat) Iyee, ola ola, ola ola We mwana we umefunika nini Funua nione Asa unaninyima nini? Uchoyo ukome Peku peku nidondoshe porini Na miiba zinichome Kwetu maji mengi ya nini Nipe matone Kishati shati piga pasi, ola ola Leo sema twende wapi, ola ola Nikugande gande ka papasi, ola ola Mmmh wewe wewe, ola ola Aga ma, natafuta kiko iko wapi? Chuma chuma dede Wakiuza siso uza gati Chuma chuma dede Huko dhambi mwiko sipataki Chuma chuma dede Ziba mwanzo mwisho wacha kati Agaga acha wavunje nazi Mwagaranyo, ola ola We niroge na vya uzazi Vya zaramo Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata Your love dey shake me like kai kai If kwa heart you can mind mind {?} Agaga acha wavunje nazi Mwagaranyo, ola ola We niroge na vya nazi Vya zaramo Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata, isakatue Sakata (Wasafi)