Unavyodhani Ndivyo sivyo Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo) Naongeza msistizo tena usimsahau Mtu mwenye matatizo (mama yo yo) Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena Wamebaki naviulizo (vingi viulizo) Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo) Eh! tusaidiane kwenya raha na shida Usimdharau mwenye nja kwakua we umeshiba Maisha safari ndefu sio eleweka Leo uko hapa unalia mwenzako kule anacheka Usimutuze tu mwenye nyumba na gari Kumbuka umaskini na utajiri zote hadhi Unavyodhani ndivo sivyo sivyo ndivyo Dunia hivyo ndilivio kuna rah na matatizo Kama leo umepewa basi mushukuru mumba Kama umekosa ongeza bidi na sio ndumba Mwenzio akiwa ana thama murushie kamba Sikia kilio cha watu wazima Bongo Mpaka Uganda! Unavyodhani Ndivyo sivyo Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo) Naongeza msistizo tena usimsahau Mtu mwenye matatizo (mama yo yo) Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena Wamebaki naviulizo (vingi viulizo) Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo) Never under estimate And learn to appreciate No matter situation, persevere and tolerate Don't get hooked by the bait Life is life, no matter what the time and date Take a little more time, sit and concentrate It's J. Chameleone, Professor in a new duet! Unavyodhani Ndivyo sivyo Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo) Naongeza msistizo tena usimsahau Mtu mwenye matatizo (mama yo yo) Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena Wamebaki naviulizo (vingi viulizo) Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo) Unaedhani ana afya kumbe ndio ana ngoma Usimini kila kitu ambacho macho yaona Wangapi wana magari na kumbe yote ya mkopo Benki ikiwadai wanarudi kwenye msoto Usi ishi kwenye ndoto, maisha upange wewe Anapanga ama nani muombe ili upewe Usimdharau mtu kwa kua yeye yuko simple Kumbe akili yake ina nguvu zaidi ya kingkong Mama yoooo! Munno bwolaba talina muwe Plani Tomukuba mgongo omulanga Bisiraani Oyo gwonyoma nti talina Plani Ebyensi bikyuka mungu yayina Mizani Tonyoma njala gweluma talina musango Toduulira mwavu tomukuba mugongo Ani yali amanyi nti ndikuba ebidongo Maisha kama kamari bora itumie ubongo Unavyodhani Ndivyo sivyo Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo) Naongeza msistizo tena usimsahau Mtu mwenye matatizo (mama yo yo) Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena Wamebaki naviulizo (vingi viulizo) Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo) Unavyodhani Ndivyo sivyo Maisha ni safari isiyokuwa na likizo (nalikizo yo yo) Naongeza msistizo tena usimsahau Mtu mwenye matatizo (mama yo yo) Wangapi walikua nazo ona sasa hawana tena Wamebaki naviulizo (vingi viulizo) Walioitwa maskini leo wamezipata imekua ndivyo sivyo (Ndivyo sivyo sivyo ndiyo)