Kindergaten mpaka chuo kikuu, downtown Kwa machizi na masister duu, mikono juu Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Magharibi mpaka nyanda za juu, kanda ya ziwa Kaskazini mpaka East Zoo, I'm coming through Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Upper cut chembe kidevu, lazima hukae! Nachana zaidi ya wembe kama mwerevu usinishangae Mi si kiongozi napigania ukombozi Nakaba kooni zaidi ya jinamizi kwenye njozi (Aaaah) Nasaka haki sio kilio cha samaki Machozi kwenda na maji Hiki kipaji sio bahati Akili yangu sio uwanja wa majaribio Neno langu linaongeza faraja kwenye vilio Nafikiri nifike, sisemi tu nisikike Jasho langu linafanya malengo niyafanikishe Niko tayari kwa heri ama kwa shari Jino kwa jino ukimwaga mboga namwaga ugali Maisha yenyewe kamari hatari ndani ya safari Kichwani vina kama mchanga wa bahari Huyu ni Mwibili wangapi mnawabashiri Na kuwavisha mataji kwa vina vya tafsiri Kindergaten mpaka chuo kikuu, downtown Kwa machizi na masister duu, mikono juu Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Magharibi mpaka nyanda za juu, kanda ya ziwa Kaskazini mpaka East Zoo, I'm coming through Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Ili nifanikiwe nahitaji marafiki Ili nifanikiwe zaidi nahitaji maadui Mkononi sina tattoo bali nina alama ya ndui Mtanzania namba moja majungu hayasumbui Mchaka mchaka nakimbiza kila upande Simtumiki kafiri ili charti yangu ipande Get off my shoulder ngoma inavuka border Muda unazungumza wa mia hapati moja Pori kwa pori hapa beep mmebaki story Kama zama za Mtikila na sera ya Kabacholi Naishi biashara daima siogopi hasara Na mara kwa mara hii busara huepusha madhara Napoza nile kama nahisi cha moto Napokea matatizo yangu kama changamoto Nipo ili nife nanena bila kificho Naitunza heshima yangu zaidi ya mboni ya jicho Kindergaten mpaka chuo kikuu, downtown Kwa machizi na masister duu, mikono juu Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Magharibi mpaka nyanda za juu, kanda ya ziwa Kaskazini mpaka East Zoo, I'm coming through Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Wewe bora mwanamziki, mimi mwanamziki bora Chance zetu hazifanani kama mafua na ebola Mwenye hekima huona haja na kijificha Bali mpumbavu huenda mbele na kuvimba kichwa Nani anabisha? Simama kudhibitisha Niite mwanaharakati hip hop naiwakilisha Fanya ufanyavyo, akili yangu haiko petty Unataka kuwa Jay copy kama double decki Siui mende kwa nyundo maana nitaumia mimi Na ndiyo maana nawadharau mnaotaka beef na mimi Born town kitambo utanieleza nini? Wakati huo wengine wenu hata hamjakuja mjini Kindergaten mpaka chuo kikuu, downtown Kwa machizi na masister duu, mikono juu Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Magharibi mpaka nyanda za juu, kanda ya ziwa Kaskazini mpaka East Zoo, I'm coming through Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Kindergaten mpaka chuo kikuu, downtown Kwa machizi na masister duu, mikono juu Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Magharibi mpaka nyanda za juu, kanda ya ziwa Kaskazini mpaka East Zoo, I'm coming through Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa! Hapo vipi? Hapo sawa!