Nilishatendwa sana Nilishachekwa sana Nilishakesha sana Nikimlilia Maulana Nilishategwa sana N mitego ya wasichana Nilishachimbiwa shimo Wakiamini nitazama Mi perfect kaumbwa mfano wa hasi na chanya Na ju umeweza kusema amini nakupenda sana Wengine majungu mtaji ndio maana wanachonga sana Nimeumbwa kwa ajili yako Wewe ni wangu tulia mama Mpole, msikivu, mkweli, mvumilivu Una mapenzi ya dhati kwenye shida mstahimilivu Una malengo chanya, mcheshi na mwaminifu Mahaba niteketeze chini juu sio mvivu Unastahili tuzo Tulia tule mbivu Pokea hii nishani Kawachome wenye wivu My General, kwako nakiri mimi ni kurutu Ninaweka silaha chini please... pokea saluti Respect the woman Protect the woman Better love your woman Woah mama, woah sister yeah Where will I be without your love? Oooh yeah Where will I be without your love? When am hungry you cook for me (ooh mama) When am running you look for me (ooh sister) When am hurting you hold on me (ooh mama) Everyday you love on me, love on me There I come for yah eeh Respect the woman Protect your woman Love your woman Oooh mama, oooh sister yeah Unastahili heshima ya mizinga ishirini na moja Uliniokoa sana nilipo onekana kioja Tangu nimekuwa nawe umebadili maisha yangu Kwenye shida na raha umekuwa karibu yangu Kila nikiteleza umekuwa msaada kwangu Kila mvua ikinyesha umekuwa mwamvuli wangu Kila jua likiwaka umekuwa kivuli changu Na kila kwenye majonzi umekuwa furaha yangu Asante sana Giza totoro we ndio kandili Mungu tuongoze vyema pamoja tutunze family Ni binadamu najua hatujakami-lika Tumwombe Mungu tupatakapo tuta-fika Sitokuacha kiangazi hata ma-sika Iwake jua inyeshe mvua nita-fika Nitaitika popote utakapo niita Na mwisho nakuahidi kamwe sitobadi-lika Respect the woman Protect the woman And love your woman Woah mama, woah sister yeah Where will I be without your love? Oooh yeah Where will I be without your love? When am hungry you cook for me (ooh mama) When am running you look for me (ooh sister) When am hurting you hold on me (ooh mama) Everyday you lover, you lover me There I come for yah eeh Respect the woman Protect your woman Love your woman Oooh mama, oooh sister yeah Tuna mengi tumeyavuka (ooh mama) Mabonde kupanda mara kushuka (ooh mama) Tumekata misitu jangwa na nyika (ooh mama) Nimepita kote kwako najikita (ooh mama) Where will I be without your love? Oooh yeah Where will I be without your love? When am hungry you cook for me (ooh mama) When am running you look for me (ooh sister) When am hurting you hold on me (ooh mama) Everyday you lover, you lover me There I come for you