Ah kwenye mziki nilianza kabla yako Shahidi mama yako utaniambia nini? Kama moto nimekula zaidi yako Acha ngwanjala zako, utaniambia nini Kama ng'ambo tulitimba kitambo Kitambo kabla yako, utaniambia nini? Mijengoni nilikuwa na baba zako Wengine mama zako, utaniambia nini? Nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu Nipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu Saa nane kazi sio chaka la maovu Ukiongelea nyota si kwetu sigara kali Game ina safari japo tumeitoa mbali Mziki huu umenifanya niwe mbunge Nisimame imara mi kumi kama Maureen Imani yangu ilinifanya nishinde Namshukuru mwenyezi na zaidi naomba unilinde Nina siri nyingi nyeti kama taulo la gesti Ukinidelete wenzako wanarequest Nilishasema ngoma ya watoto haikeshi Leo Jay namada nakumalizia kesi Watoto wanavimba kama milisho amira Wanaume pisi kali mashauzi kama jamila 20 ina maana gani kama mnapoteza dira Mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira Ah kwenye mziki nilianza kabla yako Shahidi mama yako utaniambia nini? Kama moto nimekula zaidi yako Acha ngwanjala zako, utaniambia nini Kama ng'ambo tulitimba kitambo Kitambo kabla yako, utaniambia nini? Mijengoni nilikuwa na baba zako Wengine mama zako, utaniambia nini? Na kuja mnavuma na kupotea kama upepo Hiki kipaji hazina ya maisha ya kesho Wengi mnanyea mkono usiukate bali nauosha na jua Mkikua mtajua wapi mlikosa Mnasahau sicha cha kuku daima hakibebi mzigo Sasa vipi jina dogo tu leo mnaanza zogo Kimya cha mziki inanuka, maneno yake yananuka Nakuonya kama una jicho la tatu ona Chezea mshahara dogo usichezee kazi Kabla hujanisema jichoni mwako toa kibanzi Wengi mnajiita wanaharakati kumbe waoga Kama kunguru hanenepi kwa jalala moja Watoto wanavimba kama milisho amira Wanaume pisi kali mashauzi kama jamila 20 ina maana gani kama mnapoteza dira Mziki kwetu ajira udwanzi unanipa hasira Ah kwenye mziki nilianza kabla yako Shahidi mama yako utaniambia nini? Kama moto nimekula zaidi yako Acha ngwanjala zako, utaniambia nini Kama ng'ambo tulitimba kitambo Kitambo kabla yako, utaniambia nini? Mijengoni nilikuwa na baba zako Wengine mama zako, utaniambia nini? Sikubali wanitune kama remote control I make sure everything remains roll Najitoa kafara nife na tai shingoni Machozi mengi machoni badala ya fedha mfukoni Utaniambia nini? Utaniambia nini? (Tongwe Records baby) Bin Laden!!!