Kishore Kumar Hits

Mbaraka Mwinshehe - Dawa Ya Mapenzi - Le philtre d'amour / Love Potion şarkı sözleri

Sanatçı: Mbaraka Mwinshehe

albüm: Zanzibara 9 - Tanzania 1972-74 (Masika, un souffre frais de Tanzanie)


Kwann waangaika kutafta dawa za mapenzi kwa waganga.
Madawa yasiyopimwa waweza kumuumiza mwenzio we mama
. Kwanza jiulize kwann hupendeki ckuhizi mamaa
Bembeleza bwanako muishi pamoja uctumie dawa. 2
Hakuna dawa kabisa
Yamapenz duniani
Nahasahiyo uitafutayo yakumuuampenzi wako
Alipokua anakufikiri
Lakinisasa hupendeki
Zidisha kwamadawa meng ukiachika utafanyaje
Pia wengi walifanya hvyo kutafuta mabwana wawapende
Matokeo yalikua hvyo nahivi sasa niwafiwa.

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar