Kuna matumaini mti uliokatwa Utaweza chipuka tena na Kutoa matawi mapya Punde tutayaona maua Yameta meta na mwishowe Tutapata matunda kwa mti huo Kuna matumaini mti Uliokatwa utaweza chipuka Tena nakutoa matawi mapya Punde tutayaona maua Yameta meta na Mwishowe tutapata Matunda kwa mti huo Ajikwaae hataanguka Mungu muumba Atamtegemeza. Wamngojao Bwana Watapata nguvu Watapaa kama tai