Kishore Kumar Hits

Pillars of Faith Ministers - Tunasumbuka şarkı sözleri

Sanatçı: Pillars of Faith Ministers

albüm: Nyundo


Tunasumbukia vyakula
Nayo mavazi yaishayo
Hata tumemuasi Mungu
Hatujui ndiye Muumbaji
Pendo la dunia la tuchanganyisha
Linatupeleka dhambini
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Hakuna mtu atatumikia mabwana wawili
Popote
Atamchukia mmoja
Na kumpenda yule mwingine
Giza na mwanga havitangamani
Fanya uchaguzi utembeapo
Chagua Ibilisi au Bwana Yesu
Chagua Ibilisi au Bwana Yesu.
Tunasumbukia vyakula
Nayo mavazi yaishayo
Hata tumemuasi Mungu
Hatujui ndiye Muumbaji
Pendo la dunia la tuchanganyisha
Linatupeleka dhambini
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia

Asema Paulo marafiki wabaya
Huboronga wenye maadili
Chagua
Umati mzuri
JE?
Twaweza pataje kizuri
Toka kwa kitu kile kilichooza
Chagua kwa hekima
Asema Paulo marafiki wabaya
Huboronga wenye maadili
Chagua
Umati mzuri
JE?
Twaweza pataje kizuri
Toka kwa kitu kile kilichooza
Chagua kwa hekima
Tunasumbukia vyakula
Nayo mavazi yaishayo
Hata tumemuasi Mungu
Hatujui ndiye Muumbaji
Pendo la dunia la tuchanganyisha
Linatupeleka dhambini
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Kama ndege wakosavyo wahaka,
Juu ya maisha haya
Hawana mashamba
Au mahala
Lakini sifa zao haziyumbishwi
Tunasumbukia vyakula
Nayo mavazi yaishayo
Hata tumemuasi Mungu
Hatujui ndiye Muumbaji
Pendo la dunia la tuchanganyisha
Linatupeleka dhambini
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Tunasumbukia vyakula
Nayo mavazi yaishayo
Hata tumemuasi Mungu
Hatujui ndiye Muumbaji
Pendo la dunia la tuchanganyisha
Linatupeleka dhambini
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Tusisumbukie maisha ya kesho
Tule nini tuvae nini
Na Mungu Muumba
Yuko kwenye Kesho
Tufikapo ata tuongoza
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia
Ni mshindi
Mshindi
Kwenye vita vya maisha
Mkarimu, Tajiri
Atatukirimia

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar