Kishore Kumar Hits

Pillars of Faith Ministers - Wanamsingi şarkı sözleri

Sanatçı: Pillars of Faith Ministers

albüm: Nyundo

Sisi wanamsingi wa imani tumekusanyika
Kama kikundi, nia yetu kuu ni kutangaza injili
Kwa kila lugha na jamaa wale wote
Watakao amini wabatizwe kwa maji mengi

Sisi tu familia moja, cha kututenganisha hakuna,
Kazi ya Bwana lazima tumalize (taji) latungoja mbinguni (mwisho wa
Sa.) .fari yetu,
(Nasema taji) latungoja mbinguni (mwisho wa sa.) .fari yetu

Sote tuwasafiri wa mbinguni,
Twahitaji kuhimizana sote nikilemewa uku
Nishike mkono, tusonge mbele safari ni ngumu
Kinitabakari nitaanguka hukumu yangu ikawa juu
Yako ni furaha yangu tupate uzima sisi sote tukafurahi

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar