Nitatangaza wema wako bwana
Na upendo wako jisi ulivyo juu sana
Nimejua kwamba wema nazofadhili
Hakika zatoka kwako
Nitatangaza wema wako bwana
Na upendo wako jisi ulivyo juu sana
Nimejua kwamba wema nazofadhili
Hakika zatoka kwako
Nifundishe gisi kukupenda
Nitembeye nawe, nitembeye nawe
Nisijelika poteya bwana
Ongoza mkuu yangu nisijikuaye
Nifundishe gisi kukupenda
Nitembeye nawe, nitembeye nawe
Nisijelika poteya bwana
Ongoza mkuu yangu nisijikuaye
Kila wakati nakutafuta bwana
Hata hatuwa adui wanivuta nyumba
Nilinde, baba uniongoze kwa njia zangu
Nishinde nikakutangaze
Kila wakati nakutafuta bwana
Hata hatuwa adui wanivuta nyumba
Nilinde, baba uniongoze kwa njia zangu
Nishinde nikakutangaze
Nifundishe gisi kukupenda
Nitembeye nawe, nitembeye nawe
Nisijelika poteya bwana
Ongoza mkuu yangu nisijikuaye
Nifundishe gisi kukupenda
Nitembeye nawe, nitembeye nawe
Nisijelika poteya bwana
Ongoza mkuu yangu nisijikuaye
Nifundishe gisi kukupenda
Nitembeye nawe, nitembeye nawe
Nisijelika poteya bwana
Ongoza mkuu yangu nisijikuaye
Nifundishe gisi kukupenda
Nitembeye nawe, nitembeye nawe
Nisijelika poteya bwana
Ongoza mkuu yangu nisijikuaye
Поcмотреть все песни артиста
Sanatçının diğer albümleri