Kishore Kumar Hits

Msanii Music Group - Mwamba Wenye Imara şarkı sözleri

Sanatçı: Msanii Music Group

albüm: Vumilia


Mwamba wenye imara
Kwako nitajificha
Maji hayo na damu
Yaliyotoka humu
Hunisafi na dhambi
Hunifanya mshindi
Kwa kazi zote pia
Sitimizi sharia
Nijapofanya bidii
Nikilia nakudhii
Hayaishi makosa
Ndiwe wa kuokoa
Sina cha mkononi
Naja msalabani
Nili tupu, Nivike
Ni mnyonge, nishike
Nili mchafu naja
Nioshe nisijafa
Nikungojapo chini
Nakwenda kaburini
Nipaapo mbinguni
Na kukwona enzini
Roho yangu na iwe
Rahani mwako wewe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar