Kishore Kumar Hits

Msanii Music Group - Nitaingia Lango şarkı sözleri

Sanatçı: Msanii Music Group

albüm: Mtuliza Bahari


Wakati nitajikuta, mbinguni kwa Baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Haleluya nitasifu, kufika mbinguni
Hosana! nitaingia kwa shangwe
Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni
Nchi nzuri nchi safi, kwa Baba yangu
Kuna amani kuna furaha, huko ni kusifu
Tutakaa na Mungu wetu, nchi ya amani
Hosana! nitaingia kwa shangwe
Nitawaona watakatifu, manabii wote
Hata mitume nchi hiyo, nitawaona
Tutakula meza moja, nchi ya amani
Hosana! nitaingia kwa shangwe

Поcмотреть все песни артиста

Sanatçının diğer albümleri

Benzer Sanatçılar