Yeah Scooby doo doo doo doo doo Eeh Maisha sio rahisi Si kitanda cha maua Utavuna ulichopanda Usitamani cha mwenzio Fanya kazi kwa bidii Uweze kula jasho lako Maisha mwendo wa aste aste Eeh Maisha in mpangilio Maisha ni pole pole Maisha si zoezi Maisha ni aste aste Aste aste Aste aste Hey Eeh Usiibe cha mwenzio Watakuua bure Ukikula kisicho halali Watakufunga jela Usitumie mihadharati Utakufa mchanga Maisha mwendo ni aste aste Eeh Maisha in mpangilio Maisha ni pole pole Maisha si zoezi Maisha ni aste aste Aste aste Aste aste Hey Maisha in mpangilio Maisha ni pole pole Maisha si zoezi Maisha ni aste aste Aste aste Aste aste Pole pole Scooby dooby doo doo doo Eh de de Scooby dooby doo doo doo Ndeko sala mosala Ko lemba lemba te nalobi sala mosala Vie eza difficile sala effort Luka ata moi mosala osala Yango nde etindi bato ba respect yo Mokili oyo etondi ba probleme Kondima ko sala mabe te po ozoi mbongo Utilize makasi na mayele nayo Nzambe ako pesa yo Nzambe Ako pambola yo pe oko mona Nzambe Ako pesa yo Nzambe Ako pambola yooo nalobi sala Maisha in mpangilio Maisha ni pole pole Maisha si zoezi Maisha ni aste aste Aste aste Aste aste Yeah let's go Ukifanya kazi na roho yako you succeed Kila siku songesha mbele coco, take heed Usisimame uchovuni loco, take the lead Hamisha mlima poco by poco, everyday read Majiji yanajengwa na watu not afraid to bleed Dhana hii utasoma in every dini and creed Ni njia kuwa a big dog, no matter the breed Usidhania you're less than, world inakuneed Ni muhimu to know where you're from, that's guaranteed Changamoto bila shaka, but avoid greed Hatimaye sisi wote tunaaga, I must concede But sharti you look forward and move with speed Chagua marafiki kwa makini, it starts from the seed All the big trees you see, ni vile waliproceed Lazima uvumilie to earn blue shoes suede Take the lessons from me, tafadhali Nakuplead, plead, plead, plead, plead Maisha in mpangilio Maisha ni pole pole Petit a petit l'oiseau fait son nid Maisha ni aste aste Maisha mwendo wa aste aste