Ooh it's a beautiful day What is your plan for the day? Do you wanna sit and watch others Making moves and working for themselves? Do you wanna sit and criticize yeah? When you're not doing anything Rolling stones gather no moss, ey Get to work and do something Shika siku Shika siku Shika siku Twende kazi (Twende kazi) Shika siku (Shika siku) Shika siku (Shika siku) Shika siku Twende kazi ♪ Asubuhi imefika sasa amka Ni wakati wa kwenda kazi wewe unalala Maisha ni kutafuta sio kulalisha wewe Unalalisha nini wakati bado wewe kijana Changamka na maisha, piganisha maisha Chenye unapanda leo ndicho utakachovuna Shika siku Shika siku Shika siku Twende kazi (Acha kulala we) Shika siku (Shika siku) Shika siku (Twende kazi) Shika siku Twende kazi Twende kazi Carpe diem Saissez le jour Seize the day Remember today is not a replay So as they posit to completely convey The s'posed way to seriously survey Don't let them you betray But create your own cryptic cabaret And write a renowned play As you climb up the clay To cogitate away from the cliché Kwa hivyo shika siku Nikibonga bars zangu Kutoka kyota cha kasuku Anayefunga sote sanduku Zinazojazwa na swala la sumu Ili tuongeze nguvu ya sumaku Inayovuta jamii juu Shika siku (Shika siku) Shika siku (Twende kazi) Shika siku Twende kazi (Twende tukalime we) Shika siku (Twende) Shika siku (Shika jembe) Shika siku Twende kazi ♪ Shika siku Shika siku Shika siku Twende kazi (Twende kazI) Shika siku (Shika siku) Shika siku (Shika siku) Shika siku Twende kazi (Twende kazi) ♪ Samaki Mkuu Jabali Afrika Justo, Jus, Jus Yawezekana Strong Be strong out there!