House of music a City in tha house Mpeleke Joh Makini Nikki wa pili wara wara Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane Nje ya kumi na nane Mpeleke Nje nje nje ya kumi na nane Mungu nijalie demu mpenda pesa Kila siku nipigane kuwa bakhresa Asinipende mimi apende verosa Wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosa Malighafi ya suruali si boxer Siri nyingi mahali dingi alikosa Demu wa shida na raha na misoto sana Huyo demu hanifai changamoto hana Ikiwa demu wako anapenda vidogo Uwezi kuwa na vingi na kuwa kigogo Demu amsifie sana bosi wangu Nikasirike kesho nijenge kiwanda change Sitaki demu wa kitanga jioni moja kanga Tayari amejipanga kwa mabusu mangapi Demu nayemtaka Manka wa kichaga jioni anaulizaga umeingiza shingapi Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane Nje nje nje nje ya kumi na nane Mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box nje ya box Nje ya kumi na nane Namtoa nje ya box ndio nampe cha ndani ya boxer Aulizie Ferrari Joh ni kitu gani Verosa Demu boda boda kwenye bajaj anasinzia Itaua kipaji na uwezo kufikiria Asinipende kama joh anipende kama star Super kabisa ile gumzo ya kitaa Hili nikaze asinilemaze nikadumaa Sio demu anayehitaji kuwa na ndoa Bali mwanamke anayehitaji mahitaji ya ndoa Na sheria mikononi simpigi demu Nachukua sheria kiunoni joh me killin' them Asiyefanya kazi na asile ndio neno lenye uhai Asishike neno ashike maneno yenye maslahi My lips don't shy when yo hips don't lie Sio gifti, shopping, lifti, vocha, chips mayai Demu cheap me hanifai Habari gani afanye niwaze milioni Kumwhonga laki mbili tatizo nisione Flow na mdundo ni mapene ya mweusi n Sio miaka thelethini na tano driving school Hapendi mimi niendeshe magari mazuri yea that's cool Mpeleke nje nje nje nje ya kumi nane Nje nje nje nje ya kumi na nane Mpeleke nje nje nje nje nje nje ya box nje ya box Nje ya kumi na nane