Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo nao Ahaa huoni usoni nkivojawa nafura Sioni wala alienuna Nimesaliti chama la mabachela (wanangu am sorry) Zitapungua ruti za maskani (wanangu am sorry) Kukesha Bar ndo basi stakitena (stakitena) Makurumbembe stakitena (stakitena) Vicheche watoto watown stakitena (stakitena) Makurumbembe stakitena (stakitena) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo nao Ka kukupenda makosa nifunge jela ya mapenzi Mana nlipotoka si walinifanyia ushenzi Baby hiki ndo nataka baby please nakuhitaji Kwani baby nini unataka zaidi minkuweke ndani Utakula good time hatakama huna mood fine Honeymoon na good wine afucheki mmeo nnavo shine Hebu Dj rewind praa... Nimesaliti chama la mabachela (wanangu am sorry) Zitapungua ruti za maskani (wanangu am sorry) Kukesha Bar ndo basi stakitena (stakitena) Makurumbembe stakitena (stakitena) Vicheche watoto watown stakitena (stakitena) Makurumbembe stakitena (stakitena) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo nao Wololoo... Basi piga vigelegele (wololoo...) Usione hatari vigeregere (wololoo...) Basi piga vigelegele (wololoo...) Usione hatari vigeregere (wololoo...) Basi piga vigelegele (wololoo...) Usione hatari vigeregere (wololoo...) Basi piga vigelegele (wololoo...) Usione hatari vigeregere (wololoo...) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo naoa (naoa eeh, naoa eeh, naoa eeh) Mama leo nao