It's another one Young Daresalama Kuliko unipende, alafu kesho ukanichukia Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia Najua mengi umeshasikia na uwongo pia Ila sijali sasa hivi nachotaka ni kuskia Ukisema heeee he! Sema sema heeee he! Sema heee sema hee! Let's go, twende, twende... Sema sema sema Hee! Hee! Hee! Heee! Siku nzuri asubuhi kumekucha Ndo nakumbuka kwamba leo na- kitanuka Beiby nae kachacharuka Kakuta text za madem wanataka kuinuka Home kikanuka suu, nisisindwe ku solvu Nikakumbuka tu kusema am sorry Nikamvuta njoo, hapo nabukta soo Kutoka nnje ka nimeshikwa ukooni Heeee he! Noma kweli heeee he! Let's go, twende Hee! Hee! Hee! Heee! Hee! Hee! Hee! Heee! Tumekaa siku ya pili baada ya moja mbili Nikaona dalili tutaanza kimwili Sikusubiri nikaona bora kujitenga Uoga nao akili nikaona bora kujitenga MARA hiki, mara kile, mara kiki, mara zile Za kufanya mimi nisile Niko hivi kisa ni wewee Aaah! Sio kifo mpaka milele Niko na wewe sio kifo mpaka milele Kuliko unipende, after show ukanichukia Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia Najua mengi umesikia na uwongo pia Ila sai nachotaka ni kuskia ukisema Ukisema heeee he! Sema sema heeee he! Sema heee sema hee! Let's go twende, twende... Sema sema sema Hee! Hee! Hee! Heee! Eeeehhh... sema sema Noma kweli Eeeehhh... sema ... eeh! Let's go to the... twende (Hee! hee! Hee! Hee! Tony Drizzy... Touchsound