Nawaza kombe la ushindi Sitaki glass ya bakari Maisha yanakwenda fasta Kama gari ni Bugatti Sidanganyiki na bata Nsharidhika na ugali Nazidi kuwaacha fake mcs na maswali Leo ujinga kaniacha na uzembe kaenda mbali Na uvivu ndo kadanja sikuizi hata silali Washa mwenge wa amani washa moshi hewani Brother kesho haijulikani Leo uko hai cheza nami Huu mziki naufanya bila stick za home We mbwiga unantisha kivipi am grown Broh am strong ila naheshimu machizi Mi ni young but am after doh so lazima niwe busy And am preety busy Natataka girfriend now noo! no!no! Nshafika umri wa kuoa Sio kuitwa boyfriend now Wanasema me sio concius kwao Hawajui nilichofanya me ndo favorite wao Coz nakaza huku Naanza safar ya mziki huu Alafa nalaza walio anza huku napitia kwa juu Usiogope mi ni mdogo tuu Ila nang'ta kama mamba aliekamata kangaroo No bomboclak in ma head Me am smooke music Let me smoke it all day and kill this beat Hii ni gongo we soft drink Oyah mbez tell them what you think beibe Huna budi kuniheshimu Ka inabid nkuheshimu Am all about cream Nipe kwanza taslim (cash) Hizi verse zinastim na elimu Za kuwatoa walioslim kweny ibada za mizimu Naona fake rappers ka cartoon Naspeak Fire nawaburn kama kuni kwa hizi flow Sitabiriki Kama mvua za dar es salaam Leo nnadoh acha nshike na nshafika platinum